Lugha Nyingine
Mji wa Qingdao waanzisha njia mpya za utalii wa kutazama mandhari baharini kwa kusukuma mbele maendeleo ya shughuli za utalii (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 27, 2026
![]() |
| Watalii wakifurahia mandhari wakiwa ndani ya boti, huko Qingdao, mkoani Shandong, mashariki mwa China, Agosti 26, 2026. (Xinhua/Li Ziheng) |
Eneo la Utalii wa Usafiri na Utamaduni wa Baharini la Olimpiki la Qingdao mkoani Shandong, mashariki mwa China limeanzisha njia kadhaa za utalii wa kutazama mandhari kutoka Ghuba ya Jiaozhou hadi Kisiwa cha Zhaitang, hali ambayo imesaidia kusukuma mbele maendeleo ya shughuli za utalii wa huko.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




