Lugha Nyingine
Handaki jipya la kuvuka Mto Manjano lafunguliwa katika Mji wa Jinan, Shandong, China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa Agosti 25, 2026 ikionyesha handaki linalovuka Mto Manjano, huko Jinan mkoani Shandong, mashariki mwa China. (Xinhua/Zhu Zheng) |
Handaki jipya linalovuka Mto Manjano, ambao ni mto mrefu wa pili wa China, limefunguliwa rasmi kwa upitaji wa magari jana Jumanne katika Mji wa Jinan, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China.
Handaki hilo lenye urefu wa kilomita takriban 5.75 kwa jumla, ambalo liko chini ya Barabara ya Huanggang, sehemu yake yenye urefu wa kilomita takriban 3.3 ilichimbuliwa kwa mashine ya ngao ya uchimbaji mahandaki ya "Shanhe" yenye kipenyo cha kukata cha mita 17.5, mashine hiyo ni kubwa zaidi ya aina yake kati ya mashine za uchimbaji wa mahandaki chini ya maji nchini China.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




