Lugha Nyingine
Kampuni ya Beijing ya Shirika la Gridi ya Kitaifa yahakikisha usambazaji tulivu wa umeme kwa wakazi (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2026
![]() |
| Wafanyakazi wa Kampuni ya Beijing ya Shirika la Gridi ya Kitaifa wakifanya ukaguzi kwenye kituo kidogo cha kupozea umeme wa kV 500, mjini Beijing, Agosti 6, 2026. (Picha na Zhang Xiaotan/Xinhua) |
Kutokana na kuathiriwa na halijoto ya juu na hali ya hewa ya unyevunyevu mwingi, mzigo wa gridi ya umeme ya Mji wa Beijing, China umekuwa ukiongezeka, huku mzigo wa matumizi makubwa zaidi ya umeme ukifikia kiwango kipya cha kilowati milioni 29.399 kilichorekodiwa saa 6:03 mchana kwa saa za Beijing jana Alhamisi.
Kampuni ya Beijing ya Shirika la Gridi ya Kitaifa imeongeza idadi ya wafanyakazi wa kushika zamu ili kuhakikisha uendeshaji salama wa gridi ya umeme na kuhakikisha usambazaji tulivu wa umeme kwa wakazi.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




