ChinaVumbuzi | Shughuli za kulinda mazao ya kilimo kwa ndege zaanza kufanyika kwenye mashamba mkoani Heilongjiang (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 31, 2026
ChinaVumbuzi | Shughuli za kulinda mazao ya kilimo kwa ndege zaanza kufanyika kwenye mashamba mkoani Heilongjiang
Mfanyakazi akiandaa ndege ya kilimo kwa ajili ya shughuli za angani kwenye uwanja wa ndege wa Kundi la Beidahuang la Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, Julai 28, 2026. (Picha na Qian Boyu/Xinhua)

Vitengo mbalimbali vya uzalishaji wa kilimo chini ya Kundi la Beidahuang la Mkoa wa Heilongjiang kaskazini-mashariki mwa China vimeanza kufanya shughuli za kulinda mazao ya kilimo kwa ndege juu ya mashamba, ili kuhakikisha uzalishaji tulivu wa nafaka za majira ya mpukutiko kwa kupitia mbinu za kisayansi na kiteknolojia.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha