Lugha Nyingine
Mji wa Jingdezhen, China wawa mahali pa wimbi la utalii kwa vijana wakati wa mapumziko ya majira ya joto (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2026
![]() |
| Mtalii akishiriki kwenye shughuli ya kujaribu kuchora picha kwenye chombo cha kauri mjini Jingdezhen, Mkoa wa Jiangxi, mashariki mwa China, Julai 16, 2026. (Xinhua/Zhou Mi) |
Katika Mji wa Jingdezhen wa Mkoa wa Jiangxi, mashariki mwa China kumekuwa na majumba ya makumbusho mbalimbali, ambapo watu wanaweza kushiriki katika shughuli za kujaribu kutengeneza vyombo vya kauri, na kutengeneza sanaa za mapambo mbalimbali ya kauri, na mtindo wa maisha ya watu mjini humo ni yasiyo na haraka, mji huo umekuwa mahali pazuri panapopendelewa zaidi na watalii vijana wakati huu wa siku za mapumziko ya majira ya joto.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




