Lugha Nyingine
ChinaVumbuzi | Ndani ya kiwanda cha kuunda satalaiti cha Wuxi mkoani Jiangsu China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2026
Kampuni ya Tekolojia ya Guoyu Starry Sky iliyoko kwenye eneo maalum la teknolojia ya hali ya juu la Wuxi, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China imebobea katika usanifu na uundaji wa satalaiti. Mstari wake wa uundaji wa satalaiti za kibiashara kwa teknolojia ya AI unaweza kuunda satalaiti zaidi ya 150 kwa mwaka, na uzito wa kila satalaiti unafikia kilo kati ya 200 na 500.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




