Lugha Nyingine
Soko la usiku la Xishuangbanna mkoani Yunnan, China lashuhudia ongezeko kubwa la watalii (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 16, 2026
Soko la Usiku la Starlight, lililoko Jinghong, Eneo Linalojiendesha la Kabila la Wadai la Xishuangbanna, Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China limeshuhudia ongezeko kubwa la watalii wanaowasili wakati wa kilele cha msimu wa utalii wa majira ya joto.
Soko hilo la usiku lenye vyakula vitamu vya kienyeji, utamaduni wa kabila na machaguo mbalimbali ya matumizi ya usiku, limeonesha nguvu hai za soko la kitamaduni na shughuli za utalii katika eneo hilo.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




