Lugha Nyingine
Ndege No. C919 iliyoundwa na China yenyewe yaendesha njia mpya kati ya Beijing na Yan'an (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 25, 2026
Shrika la Ndege la China jana Jumatano lilianza rasmi kutumia ndege No. C919 iliyoundwa na China yenyewe kwenye njia mpya inayounganisha Mji wa Beijing na Yan'an katika Mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China.
Hadi sasa, shirika hilo la ndege limeshafungua njia kadhaa za anga kutoka Beijing hadi maeneo ya zamani ya mapinduzi kama vile Jinggangshan, Zunyi na Yan'an, likipanga kutoa safari za ndege 260 kila wiki, ili kuingiza msukumo katika maendeleo ya maeneo hayo.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




