Ardhi oevu ya Tiaozini katika Mkoa wa Jiangsu, China yajenga makazi bora kwa kulungu wa milu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 08, 2026
Ardhi oevu ya Tiaozini katika Mkoa wa Jiangsu, China yajenga makazi bora kwa kulungu wa milu
Picha iliyopigwa Mei 7, 2026 ikionyesha kulungu wa milu katika ardhi oevu ya Tiaozin huko Dongtai ya Mji wa Yancheng, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. (Picha na Sun Jialu/Xinhua)

Katika miaka ya hivi karibuni, ardhi oevu ya Tiaozini katika eneo la Dongtai la Mji wa Yancheng, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China imeendelea kuimarisha ulinzi na ufufukaji wa mazingira ya asili, ikijijengea kuwa makazi bora kwa kulungu wa milu, ambapo idadi yao kwa sasa imezidi 1,000.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha