Midoli inayovuma na kukusanywa yawa jambo la kitamaduni nchini China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2026
Midoli inayovuma na kukusanywa yawa jambo la kitamaduni nchini China
Dreva teksi akipanga midoli inayovuma na kukusanywa naye kama mapambo ndani ya gari yake mjini Duyun, Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China, Aprili 25, 2026. (Picha na Xiao Wei/Xinhua)

Nchini China, Midoli inayovuma na kukusanywa imebadilika kutoka jambo alipendalo mtu binafsi hadi kuwa jambo la kitamaduni, na kuonekana katika mazingira mbalimbali ya kila siku. Midoli hiyo si tu inaleta njia kwa watu kujieleza hisia zao na kufanya mawasiliano na watu kwenye jamii, bali pia inashuhudia mwelekeo wa matumizi unaosisitiza ya kutafuta upendeleo wa watu binafsi.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha