Lugha Nyingine
Chombo cha kwanza cha utafiti wa kisayansi majini cha China kilichofadhiliwa na watu binafsi chazinduliwa Zhejiang
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2026
WENLING - Chombo cha kwanza cha utafiti wa kisayansi majini cha China kilichofadhiliwa na watu binafsi, R/V Haiying Surveyor kimezinduliwa rasmi mjini Wenling, Mkoani Zhejiang, mashariki mwa China jana Jumanne. Chombo hicho kina urefu wa mita 82, uzito wa tani 3,500 katika hali ya mzigo kamili, na uwezo wa kusafiri umbali wa maili za baharini 10,000. Chombo hicho kimehifadhiwa na wavuvi 37 kutoka Wenling.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




