Kupatwa kwa mwezi kikamilifu kwashuhudiwa katika sehemu mbalimbali nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 04, 2026
Kupatwa kwa mwezi kikamilifu kwashuhudiwa katika sehemu mbalimbali nchini China
Mwezi ukionekana katika hali ya kupatwa kikamilifu katika Mji wa Qiqihar, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Machi 3, 2026. (Picha na Wang Yonggang/Xinhua)

Jana tarehe 15 ya mwezi wa kwanza kwa kalenda ya kilimo ya China ilikuwa ni Sikukuu ya Taa ya Jadi. Sikukuu hiyo ya mwaka huu imeambatana na siku ya mwezi kupatwa kikamilifu, hali ambayo imeshuhudiwa katika sehemu mbalimbali nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha