Meli ya kitalii yawasili Tianjin, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 04, 2026
Meli ya kitalii yawasili Tianjin, China
Picha iliyopigwa Machi 3, 2026 ikiionyesha MS Regatta (kushoto) ikitia nanga katika Bandari ya Kimataifa ya Meli za Kitalii ya Tianjin mjini Tianjin, kaskazini mwa China. (Xinhua/Sun Fanyue)

Ikiwa ni meli ya kwanza ya kitalii kuwasili kaskazini mwa China mwaka huu, MS Regatta, meli ya kitalii inayoendeshwa na Kampuni ya Oceania Cruises, imewasili katika Bandari ya Kimataifa ya Meli za Kitalii ya Tianjin kutoka Korea Kusini jana Jumanne.

Abiria karibu 600 waliokuwa wamepanda meli hiyo ya MS Regatta, ambao wametoka nchi na maeneo zaidi ya 20 ikiwa ni pamoja na Marekani, Canada na Australia, wameanza ratiba ya siku mbili ili kujionea mvuto wa kitamaduni na uzuri wa kihistoria wa mji huo wa Tianjin.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha