Lugha Nyingine
Sikukuu ya Jadi ya Taa ya China yasherehekea mkoani Zhejiang
![]() |
| Picha iliyopigwa Machi 3, 2026 ikionesha sherehe ya Sikukuu ya Jadi ya Taa ya China katika Mji wa Jiande, Mkoa wa Zhejiang wa China. (Xinhua/Xu Yu) |
Sherehe ya Sikukuu ya Jadi ya Taa ya China imefanyika katika Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China jana Jumanne, ikivutia watalii wengi kutazama.
Katika sehemu mbalimbali nchini China, shughuli za aina mbalimbali zimefanyika katika siku hiyo ili kusherehekea Sikukuu hiyo ya Jadi ya Taa, ambayo husherehekewa katika siku ya 15 ya mwezi wa kwanza kwa kalenda ya jadi ya China, au tarehe 3, Machi mwaka huu.

"Tamasha la Maolong" la kabila la Wayilao lasherehekewa kwa ngoma ya dragoni mkoani Guizhou, China

Mji mkongwe wa Wuzhen, China wazindua shughuli mbalimbali wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China

Hong Kong Yasherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa Farasi wa China kwa Maonyesho ya Fataki

Ufunguzi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
