"Ghala la nafaka" la China Heilongjiang yaingia msimu mpya wa kilimo (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 02, 2026
Wafanyakazi wakifanya kazi ya matengezo ya vifaa kwenye kituo cha hali ya hewa cha Kampuni ya Shamba la Youyi ya Kundi la Beidahuang la Mji wa Shuangyashan, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Februari 28, 2026. (Xinhua/Wang Song)

Mkoa wa Heilongjiang, ambao pia unafahamika kwa jina la "ghala la nafaka" la China, umeingia msimu mpya wa kilimo. Katika Mji wa Shuangyashan, wafanyakazi wanajishughulisha na kusafisha theluji na kuweka vifuniko vya plastiki kwa mabanda ya kilimo ya kuzalisha miche ya mpunga. Matengenezo na ukaguzi wa mashine za kilimo pia vinaendelea.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha