Ndege zinazopaa na kutua wima za kutumia umeme, na roboti za umbo la binadamu zaonekana Wuhan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2026
Ndege zinazopaa na kutua wima za kutumia umeme, na roboti za umbo la binadamu zaonekana Wuhan, China
Roboti ya umbo la binadamu ikishika kipande cha tofu mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Februari 24, 2026. (Xinhua/Xiao Yijiu)

Ndege zinazopaa na kutua kwa wima za kutumia umeme (eVTOL) za aina mbalimbali na roboti za umbo la binadamu zimeonekana kwa mara ya kwanza katika shughuli iliyofanyika huko Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China vikionyesha mafanikio mapya ya mkoa huo katika uchumi wa anga ya chini na viwanda vya kutengeneza bidhaa za teknolojia ya AI.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha