Lugha Nyingine
Mji wa Tianjin, wafungua njia ya kijani kwa mazao freshi yanayoagizwa kutoka nje
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2026
Mazao mbalimbali freshi yaliyoagizwa kutoka nje ya nchi kama vile cheri, kamba weusi na ndizi yanayosafirishwa kupitia uchukuzi wa mnyororo baridi yamefika kwenye Bandari ya Tianjin, kaskazini mwa China kabla ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China.
Ili kuhakikisha uidhinishaji bora wa forodha, kituo cha ukaguzi wa mpakani cha Dongjiang kimefungua njia ya kijani kwa mazao hayo freshi yaliyoagizwa kutoka nje, hali ambayo imepunguza muda wake ili kuhakikisha uwasilishaji wa haraka wa bidhaa hizo kwenda supamaketi.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




