Mji wa Shanghai washuhudia ongezeko kubwa la wageni wanaoingia kabla ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2026
Mji wa Shanghai washuhudia ongezeko kubwa la wageni wanaoingia kabla ya Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi
Watalii wakijaza taarifa za kuingia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Pudong wa Shanghai, mashariki mwa China, mnamo Februari 11, 2026. (Xinhua/Chen Haoming)

Wakati Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ikikaribia, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Pudong wa Shanghai, mashariki mwa China umeshuhudia ongezeko kubwa la wageni wanaoingia. Kwa mwaka huu sikukuu hiyo ya jadi ya mwaka mpya wa farasi itakuwa Februari 17 na likizo yake itachukua siku 9 kuanzia Februari 15-23.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha