Lugha Nyingine
Mnara Mkuu No. 6 wa daraja la reli na barabara kuu la Taoyaomen Mjini Zhoushan, China wafikia muundo wa kileleni (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2026
Mnara Mkuu No. 6 wa Daraja la Reli na Barabara Kuu la Taoyaomen unaojengwa na Kundi la Kampuni za Uhandisi wa Madaraja Makubwa la Shirika la Reli la China katika Mji wa Zhoushan, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China umekamilisha muundo wake wa kileleni jana Jumatano, ikiashiria mafanikio makubwa ya mradi huo.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




