Siku ya Chongyang yaadhimishwa kote China kwa shughuli mbalimbali za kusherehekea

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 30, 2025
Siku ya Chongyang yaadhimishwa kote China kwa shughuli mbalimbali za kusherehekea
Wang Yilong (kushoto, mbele) na Xue Yujuan (kulia, mbele), manusura wa Mauaji ya Halaiki ya Nanjing, wakihudhuria hafla ya kusherehekea Siku ya Chongyang iliyoandaliwa na Jumba la Kumbukumbu za Waathiriwa katika Mauaji ya Halaiki ya Nanjing yaliyofanywa na Wavamizi wa Japan mjini Nanjing, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Oktoba 29, 2025. (Xinhua/Li Bo)

Shughuli mbalimbali za kusherehekea zimefanyika kote China kuadhimisha Siku ya Chongyang ya Tarehe 9 ya Mwezi wa 9 kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo iliwadia Oktoba 29 mwaka huu. Pia ikijulikana kwa jina la Siku ya Kuheshimu Wazee ya China, siku hiyo inatukuza maadili ya jadi ya watu wa China ya heshima, utii, na utunzaji kwa wazazi na watu wazee na upendo wa familia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha