Lugha Nyingine
Ujenzi wa mradi mkuu wa njia ya kusambaza umeme wa 500-kV katika Mkoa wa Anhui wa China wakamilika (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 18, 2025
![]() |
| Picha iliyopigwa Desemba 16, 2025 ikionyesha mjenzi akifanya kazi kwenye ujenzi wa njia ya kusambaza umeme katika Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China. (Xinhua/Zhou Mu) |
Ujenzi wa mradi mkuu wa njia ya kusambaza umeme wa 500-kV kutoka Xiangjian hadi Ludao katika Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China umekamilika kwa mafanikio jana Jumatano. Njia hiyo ya kusafirisha umeme yenye urefu wa kilomita 136.8, itaboresha zaidi muundo wa gridi ya umeme wa mkoa huo wa Anhui na kuongeza uhakika wa usambazaji umeme itakapokamilika.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




