Watalii watembelea Mtaa wa Kati katika Mji wa Harbin, Heilongjiang, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 17, 2025
Watalii watembelea Mtaa wa Kati katika Mji wa Harbin, Heilongjiang, China
Watalii wakipiga picha kwenye Mtaa wa Kati mjini Harbin, katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Desemba 16, 2025. (Xinhua/Wang Song)

Mtaa wa Kati, ukiwa moja ya vivutio maarufu zaidi katika Mji wa Harbin, unajulikana kwa majengo yake yaliyosanifiwa kwa mitindo mbalimbali ya Ulaya, na katika shughuli za utalii za majira ya baridi mwaka huu zinazofanyika katika hali motomoto, watalii wanavutiwa na kusifu sana sanaa nyingi za barafu na theluji za kuchongwa na maonyesho ya jadi katika mji huu. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha