Lugha Nyingine
Shirika la Posta la China lajitahidi kuhakikisha uwasilishaji wa vifurushi vya gulio la mtandaoni la Siku ya "Double Eleven" (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 11, 2025
![]() |
| Mfanyakazi akipanga vifurushi katika tawi la Shirika la Posta la China mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Novemba 10, 2025. (Xinhua/Zhang Tao) |
Leo Tarehe 11 mwezi wa 11 ni siku ya gulio kubwa la mtandaoni la China ambalo pia linajulikana sana kwa jina la Siku ya "Double Eleven". Katika siku hii Wachina kwa mamilioni hufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali zenye bei za ofa au zilizopunguzwa zaidi, hali ambayo hufanya kampuni za ubebaji na uwasilishaji vifurushi kwa wateja kuwa na pilika nyingi. Ili kukidhi mahitaji ya hali ya siku hiyo, tawi la Shirika la Posta la China mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China limechukua hatua stahiki ili kuhakikisha vifurushi hivyo vinapokewa nalo na vinawasilishwa kwa wateja.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




