Lugha Nyingine
Shanghai yajiandaa vema kwa ajili ya Maonyesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 04, 2025
Maonyesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatafanyika Shanghai, mashariki mwa China kuanzia kesho Jumatano Novemba 5 hadi Novemba 10. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waandaaji, maonyesho hayo ya mwaka huu yatashirikisha waonyeshaji bidhaa 4,108 wa ng'ambo kutoka nchi, maeneo na mashirika ya kimataifa 155, huku ukubwa wa jumla wa eneo la maonyesho hayo ukizidi mita za mraba 430,000, yakiweka rekodi mpya katika ukubwa wake.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




