Mradi wa Magenge Matatu ya China wazalisha kWh zaidi ya bilioni 423 za umeme katika miaka mitano iliyopita

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2025
Mradi wa Magenge Matatu ya China wazalisha kWh zaidi ya bilioni 423 za umeme katika miaka mitano iliyopita
Picha iliyopigwa Novemba 2, 2025 ikionyesha Bwawa la Kuzalisha Umeme kwa nishati ya Maji la Magenge Matatu na njia zake za kusambaza umeme kwa maeneo mbalimbali huko Yichang, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China. (Picha na Zheng Jiayu/Xinhua)

Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme kwa nishati ya Maji la Magenge Matatu (Three Gorges Dam), ambao ni mradi mkubwa zaidi duniani wa kuzalisha umeme kwa nishati ya maji, umezalisha kWh zaidi ya bilioni 423 za umeme tangu ulipothibitishwa rasmi kuwa umekamilika na unafanya kazi kikamilifu, Novemba 1, 2020.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha