Lugha Nyingine
Wafanyabiashara wa matunda wa Afrika Kusini wahifadhi kwa bidii matunda kwa ajili ya kusafirishwa na kuuzwa China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 31, 2025
![]() |
| Trei za za matunda ya nektarini zikionekana kwenye rafu katika Soko la Mazao Freshi la Johannesburg nchini Afrika Kusini, Oktoba 29, 2025. (Picha na Shiraaz Mohamed/Xinhua) |
Katika siku za hivi karibuni, wafanyabiashara wa matunda wa Afrika Kusini wamekuwa wakihifadhi kwa bidii matunda kwa ajili ya kusafirishwa kuuzwa China. Kulingana na makubaliano ya biashara ya hivi punde yaliyofikiwa kati ya serikali za Afrika Kusini na China, Afrika Kusini imeidhinishwa kusafirisha na kuuza China aina tano za matunda, yakiwemo ya parachichi, pichi, nektarini, plum, na prunes.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




