Mtandao wa usafiri wa China washuhudia pilika za wasafiri wengi katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Taifa (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2025
Mtandao wa usafiri wa China washuhudia pilika za wasafiri wengi katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Taifa
Picha ya droni iliyopigwa Oktoba 1, 2025 ikionyesha magari yakipita kwenye Daraja la Pili la Mto Yangtze mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China. (Xinhua/Xiao Yijiu)

Mtandao wa usafiri wa China umeshuhudia pilika za wasafiri wengi katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Taifa ya China iliyoanza rasmi jana Jumatano Oktoba Mosi na itaendelea kwa zaidi ya wiki moja hadi Jumatano ya wiki ijayo, Oktoba 8. Wakati wa likizo hiyo, wachina kwa mamilioni husafiri ndani na nje ya nchi kwa ajili ya utalii, matumizi ya manunuzi, mijumuiko ya kifamilia na kadhalika.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha