

Lugha Nyingine
Maonyesho yaanza kufanyika kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa Jumba la Makumbusho la Kasri la Kifalme mjini Beijing (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2025
![]() |
Mgeni mwalikwa akitembelea maonyesho ya kidijitali ya 3D kwenye Jumba la Makumbusho la Kasri la Kifalme mjini Beijing, Septemba 29, 2025. (Xinhua/Jin Liangkuai) |
Mwaka huu ni maadhimisho ya miaka 100 tangu kuanzishwa kwa Jumba la Makumbusho la Kasri la Kifalme lililoko mjini Beijing, China. Jana Jumatatu, hafla ya ufunguzi wa maonyesho ya "Karne ya Utunzaji Makini: Kutoka Kasri la Kifalme hadi Jumba la Makumbusho ya Kasri la Kifalme" imefanyika kwenye Jumba la Makumbusho la Kasri la Kifalme mjini Beijing. Maonyesho hayo seti 200 za vitu vya mabaki ya utamaduni, ambavyo vimetoa ufafanuzi wa pande nyingi wa ustaarabu wa China na mapito mbalimbali ya mabadiliko ya Jumba hilo la Makumbusho la Kasri la Kifalme.
Maonyesho hayo yamefunguliwa rasmi kwa umma leo Septemba 30 katika Ukumbi wa Maonyesho wa Lango la Wumen.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma