

Lugha Nyingine
Wanasarakasi wafanya maonyesho katika Eneo la Ulimwengu wa Sarakasi la Wuqiao mjini Cangzhou, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2025
![]() |
Mwanasarakasi akifanya maonyesho kwenye Eneo la Ulimwengu wa Sarakasi la Wuqiao katika Wilaya Wuqiao ya Cangzhou, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Septemba 25, 2025. (Xinhua/Mu Yu) |
Eneo la Ulimwengu wa Sarakasi la Wuqiao katika Wilaya Wuqiao ya Cangzhou, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, bustani yenye mambo ya sarakasi, ni kivutio pendwa cha mambo ya jadi na kituo chenye shughuli mbalimbali, zikiwemo burudani, mambo ya kitamaduni, maonyesho, mafunzo, mashindano na mawasiliano ya kitamaduni.
Tamasha la 20 la Kimataifa la Sarakasi la China la Wuqiao limepangwa kufanyika kuanzia Septemba 28 hadi Oktoba 8 katika Wilaya hiyo ya Wuqiao na Mji wa Shijiazhuang wa Mkoa wa Hebei, China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma