

Lugha Nyingine
Shaolin Kungfu, chombo muhimu cha mawasiliano ya Utamaduni wa China na ulimwengu wa nje
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 28, 2025
Sanaa ya kupigana ya Shaolin, au Shaolin Kungfu, hurejelea mfumo wa utamaduni wa jadi uliozaliwa katika mazingira maalumu ya utamaduni wa dini ya Buddha wa Hekalu la Shaolin katika Mlima Songshan, Mkoani Henan, China, na hujionesha na kujitambulisha hasa kupitia sanaa ya kupigana inayofanywa na watawa katika Hekalu la Shaolin.
Kungfu hiyo ya Shaolin imekuwa ikiboreshwa na kustawishwa sambamba na maendeleo ya kihistoria ya hekalu hilo la Shaolin, na hatua kwa hatua imeendelezwa kuwa namna ya kujieleza na kujitambulisha kitamaduni ambayo husisitiza vyote ukuaji wa afya ya mwili na kiroho. Leo hii, Kungfu hiyo ya Shaolin imekuwa chombo muhimu cha mawasiliano ya utamaduni wa jadi wa China na ulimwengu wa nje.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma