Upandaji matunda kwenye Kibanda cha Kilimo wasaidia ustawishaji wa vijiji mkoani Hebei, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 27, 2025
Upandaji matunda kwenye Kibanda cha Kilimo wasaidia ustawishaji wa vijiji mkoani Hebei, China
Aprili 26, 2025, mkulima akichuma pichi kwenye kibanda chake cha kilimo katika Wilaya ya Changli, Mkoa wa Hebei wa China. (Xinhua/Yang Shiyao)

Katika miaka ya hivi karibuni, ili kuongeza mapato ya wakulima na kuhimiza ustawishaji wa vijiji, Wilaya ya Changli imekuwa ikiwaunga mkono kwa juhudi kubwa wakulima kuendeleza upandaji wa matunda kwenye vibanda vya kilimo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha