Shughuli mbalimbali za kitamaduni zafanyika kwenye mashamba ya matuta huko Congjiang, Mkoa wa Guizhou (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 27, 2025
Shughuli mbalimbali za kitamaduni zafanyika kwenye mashamba ya matuta huko Congjiang, Mkoa wa Guizhou
Maonyesho ya Mitindo yakifanyika wakati wa shughuli za kitamaduni kwenye mashamba ya matuta ya Wilaya ya Congjiang, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Aprili 26, 2025. (Xinhua/Yang Wenbin)

Shughuli mbalimbali za kitamaduni zilifanyika hapa kuonyesha kilimo cha kijadi cha eneo hili na mavazi ya rangi mbalimbali za kikabila. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha