

Lugha Nyingine
Chapa za magari ya China zang’aa kwenye Maonesho ya Magari ya Shanghai 2025 (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 27, 2025
![]() |
Watembeleaji wakiangalia banda la gari la chapa ya China Zeekr kwenye Maonesho ya 21 ya kimataifa ya Viwanda vya Magari ya Shanghai China Aprili 26, 2025. (Xinhua/Fang Zhe) |
Maonesho ya 21 ya kimataifa ya Viwanda vya Magari ya Shanghai yanayofanyika kwenye Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonesho cha Shanghai, wafanyabiashara wa magari ya chapa za China siyo tu wameonesha teknolojia mpya zaidi, bali pia wametoa magari ya aina mpya, ambayo yakivutia watembeleaji kutoka ndani na nje ya China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma