

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Sayansi ya kuadhimisha Siku ya Anga ya Juu ya China yafanyika Shanghai (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 25, 2025
Tarehe 24 Aprili ya kila mwaka ni Siku ya Anga ya Juu ya China tangu Mwaka 2016. Katika siku hiyo ya mwaka 1070, satalaiti ya kwanza ya China ya "Dongfang-1" imerushwa kwenda anga ya juu. Shughuli za kuadhimisha Siku ya Anga ya Juu ya China ya mwaka huu zimeanza kufanyika kuanzia jana Alhamisi Aprili 24 hadi Mei 5 kwenye Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Shanghai World Expo mjini Shanghai, Mashariki mwa China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma