Maonyesho ya Magari ya Shanghai 2025 yaanza Shanghai, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2025
Maonyesho ya Magari ya Shanghai 2025 yaanza Shanghai, China
Watembeleaji wakitazama gari la Xpeng G7 linalooneshwa kwenye Maonyesho ya Magari ya Shanghai 2025 mjini Shanghai, mashariki mwa China, Aprili 23, 2025. (Xinhua/Fang Zhe)

Yakiwa na kaulimbiu ya "Kukumbatia Uvumbuzi, Kuwezesha Siku za Baadaye", Maonyesho ya 21 ya Kimataifa ya Viwanda vya Magari ya Shanghai, ambayo pia yanajulikana kwa jina la Maonyesho ya Magari ya Shanghai 2025, yameanza mjini Shanghai, mashariki mwa China jana Jumatano, yakivutia kampuni za magari zinazojulikana karibu 1,000 kutoka nchi na maeneo 26.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha