

Lugha Nyingine
Luoyang, mji mkuu wa Kale wa Enzi 13 za China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2025
Ukiwa unapatikana sehemu ya magharibi ya Mkoa wa Henan, Mji wa Luoyang, ni mji mkuu wa kale wa China kwa enzi nyingi zaidi za utawala wa kale na wenye historia ya muda mrefu zaidi. Ukiwa ni mji mkuu wa enzi kumi na tatu za utawala wa China ya kale, Mji huo wa Luoyang una historia ya zaidi ya miaka 4000, na umepitia chini ya Enzi za Xia, Shang, Zhou, Sui na Tang ukiwa una urithi mkubwa wa kihistoria. Katika kila mwezi wa Aprili wakati maua ya peoni yanapochanua, mji huo huvutia idadi kubwa ya watalii kutoka ndani na nje ya nchi kuja kushuhudia utamaduni na uzuri wake wa milenia.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma