

Lugha Nyingine
Muonekano wa Ziwa Jade Kaskazini Magharibi mwa China kutoka angani
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 23, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa kutoka juu Aprili 19, 2025 ikionesha Ziwa Jade huko Mangya, Mkoa wa Qinghai, Kaskazini Magharibi mwa China. (Xinhua/Du Xiaowei) |
Kwa sababu ya tofauti katika kina na mkusanyiko wa kiasi kikubwa cha madini majini, Ziwa Jade lililoko Mangya, Mkoa wa Qinghai, Kaskazini Magharibi mwa China linaonesha rangi mbalimbali, ikilifanya kuwa kivutio maarufu cha utalii.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma