Papa Francis afariki dunia akiwa na umri wa miaka 88 (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 22, 2025
Papa Francis afariki dunia akiwa na umri wa miaka 88
Picha hii ya kumbukumbu iliyopigwa Machi 13, 2024 ikimuonyesha Papa Francis akipungia umati wa watu alipokuwa katika shughuli moja kwenye Uwanja wa St. Peter's huko Vatican. (Picha na Alberto Lingria/Xinhua)

ROME – Papa Francis amefariki dunia jana Jumatatu mjini Vatican akiwa na umri wa miaka 88, taarifa iliyotolewa na kanisa la romani katolini, Vatican imesema. Akiwa alizaliwa na kupewa jina la Jorge Mario Bergoglio Desemba 17, 1936, mjini Buenos Aires, Argentina, Papa Francis amekuwa akihudumu kama kiongozi wa Kanisa la Katoliki Duniani tangu Mwaka 2013.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha