Ushoroba alama wa biashara wa China wachochea ukuaji wa viwanda vya vioo na biashara ya Dunia (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 22, 2025
Ushoroba alama wa biashara wa China wachochea ukuaji wa viwanda vya vioo na biashara ya Dunia
Mfanyakazi akitazama bidhaa za vioo vya magari kwenye kiwanda cha vioo mjini Beihai, Mkoa unaojiendesha wa Guangxi, kusini mwa China, Machi 13, 2025. (Xinhua/Cao Yiming)

NANNING - Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na maendeleo ya Ushoroba Mpya wa Biashara ya Kimataifa kwenye nchi kavu na Baharini, ambao ni mtandao muhimu wa usambazaji bidhaa unaounganisha mikoa ya magharibi ya China na masoko ya Dunia, viwanda husika vya vioo vya China vimekuwa vikipanua kwa kutumia rasilimali na nguvu bora za usambazaji bidhaa za kimikoa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha