Mradi wa ukarabati kwenye barabara ya sita ya mzunguko ya mashariki ya Beijing, China wakamilika (2)

(CRI Online) April 21, 2025
Mradi wa ukarabati kwenye barabara ya sita ya mzunguko ya mashariki ya Beijing, China wakamilika
Gari likiendeshwa ndani ya handaki kwenye barabara ya sita ya mzunguko ya mashariki ya Beijing, mji mkuu wa China, tarehe 20 Aprili 2025. (Kampuni ya 14 ya Kundi la Kampuni za Reli la China/ kupitia Xinhua)

BEIJING - Mradi wa ukarabati wa barabara ya sita ya mzunguko ya mashariki ya mji wa Beijing, China (Beijing's east sixth ring road) umekamilika na kuanza kutumika jana Jumapili.

Sehemu hiyo iliyokarabatiwa ina urefu wa kilomita takriban 16.3, ikijumuisha handaki lenye urefu wa kilomita 7.4.

Mradi huo unasaidia kuboresha usafiri wa barabara kuu kupita eneo la msingi la Tongzhou.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha