

Lugha Nyingine
Nukuu za Xi Jinping kuhusu namna ya kufuata Njia za Ustawishaji wa Vijiji mkoani Fujian (6)
![]() |
Maelezo ya Mhariri:
Komredi Xi Jinping alifanya kazi kwa miaka 17 na nusu katika Mkoa wa Fujian, China, ambapo alitoa wazo muhimu mfululizo, na kuhimiza kufanya uzoefu mfululizo muhimu. Na siku zote katibu mkuu huyo anatilia maanani milima, mito na watu wanaoishi katika Mkoa wa Fujian. Tokea Mkutano Mkuu wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China, katibu mkuu Xi Jinping ametoa maagizo muhimu kwa mara nyingi kuhusu maendeleo ya Fujian.
Wakati wa ziara yake ya ukaguzi Mkoani Fujian, Xi alisisitiza kuwa “Katika ustawishaji wa vijiji, mambo muhimu zaidi ni kuchagua shughuli za kutajirisha watu kwa kufuata hali halisi ya sehemu walipo wanakijiji.” “Lazima kufanya mpango wa jumla wa kuendeleza utamaduni wa chai, shughuli za chai, na teknolojia ya chai, kushikilia mwelekeo wa maendeleo ya kijani, kuongeza uelewa wa chapa, kuboresha mazingira ya masoko na mzunguko, na kuweka msingi imara wa shughuli za kustawisha vijiji.” “Lazima kuhimiza mafungamano ya kina kati ya uvumbuzi wa teknolojia na wa viwanda ili kupata njia mpya ya kujiendeleza.”
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma