Wiki ya Utamaduni wa "Kaijiang" yaanza mjini Harbin, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 17, 2025
Wiki ya Utamaduni wa
Onyesho likifanyika kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya utamaduni wa "Kaijiang" mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, Aprili 16, 2025. (Xinhua/Zhang Tao)

"Kaijiang" inarejelea kuyeyushwa kwa mito iliyofunikwa na barafu ya majira ya baridi kila mwaka wakati wa kuwadia majira ya mchipuko kaskazini-mashariki mwa China.

Watu katika Mji wa Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China jana Jumatano walianzisha wiki ya utamaduni wa kusherehekea kuyeyushwa kwa Mto Songhua, ambapo shughuli nyingi kama vile matambiko na maonyesho ya kijadi zimefanyika ili kuonyesha urithi wa kikabila wa mkoa huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha