

Lugha Nyingine
Rais wa China awasili Cambodia na kuanza ziara (2)
(CRI Online) April 17, 2025
![]() |
(Picha inatoka shirika la Xinhua) |
Rais Xi Jinping wa China leo amefika mjini Phnom Penh kwa ndege maalum, na kuanza rasmi ziara yake nchini Cambodia.
Katika uwanja wa ndege, Rais Xi alipokelewa na mfalme Norodom Sihamoni na mwenyekiti wa chama tawala cha Cambodia Samdech Hun Sen.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma