

Lugha Nyingine
Eneo Jipya la Xiong'an la Mkoa wa Hebei, China laongeza kasi ya ujenzi wa gridi ya umeme (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 16, 2025
![]() |
Roboti ikifanya kazi ya ukaguzi kwenye handaki la kebo katika Eneo Jipya la Xiong'an, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Aprili 15, 2025. (Xinhua/Mu Yu) |
Katika miaka ya hivi karibuni, mamlaka ya umeme ya serikali ya Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China imekuwa ikihimiza ujenzi wa gridi za umeme za Eneo Jipya la Xiong'an kulingana na viwango vya miji ya daraja la kwanza nchini China. Chini ya dhana za maendeleo ya kijani, vumbuzi na ya teknolojia za kisasa, ujenzi wa vituo vya kupozea umeme vitaunganishwa na ubunifu wa mazingira ya mijini, na miradi mingi ya nishati ya teknolojia za kisasa imeshakamilika.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma