

Lugha Nyingine
Jukwaa la kutazama mandhari ya mji juu ya Jengo la White Magnolia la Shanghai, China lafunguliwa kwa umma (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 16, 2025
Jukwaa la Kutazama Mandhari, ambalo ni jukwaa jipya la kutazama mandhari ya mji juu ya Jengo la White Magnolia mjini Shanghai, mashariki mwa China limefunguliwa rasmi kwa umma jana Jumanne, ambapo watalii wanaotembelea mji huo sasa wanaweza kutazama mandhari ya mji wa Shanghai kutoka juu na kwa upande wa digrii 360 wakiwa kwenye juu ya jukwaa hilo lililo kwenye urefu wa mita 320.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma