

Lugha Nyingine
Maonyesho ya 5 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yafanyika Mkoani Hainan (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 14, 2025
![]() |
Mfanyabiashara akionyesha aina moya ya droni, Aprili 13. |
Siku hiyo, Maonyesho ya 5 ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yalifanyika katika mkoa wa Hainan. Makampuni zaidi ya 1700 na chapa zaidi ya 4100 kutoka nchi na maeneo zaidi ya 70 duniani yanashiriki kwenye maonyesho hayo.
(Xinhua/Guo Cheng)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma