Maonyesho ya 5 ya Bidhaa za Matumizi ya China yaendelea kuandaliwa mjini Haikou, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 11, 2025
Maonyesho ya 5 ya Bidhaa za Matumizi ya China yaendelea kuandaliwa mjini Haikou, China
Wafanyakazi wakiweka sanamu ya maskoti kwa Maonyesho ya tano ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Hainan mjini Haikou, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Aprili 10, 2025. (Xinhua/Guo Cheng)

Maonyesho ya tano ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE), ambalo ni jukwaa kuu la mwelekeo wa biashara na matumizi ya kimataifa, yatafanyika Haikou, mji mkuu wa Mkoa wa Hainan, kusini mwa China kuanzia Aprili 13 hadi Aprili 18. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha