Mamilioni ya maua ya miti ya matunda ya peasi yachanua katika Wilaya ya Dangshan, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 10, 2025
Mamilioni ya maua ya miti ya matunda ya peasi yachanua katika Wilaya ya Dangshan, China
Watalii wakiwa wamevalia mavazi ya Hanfu na kufurahia maua katika bustani ya miti ya matunda ya peasi, mjini Dangshan, Anhui, China. (Picha na Zhang Jun/ People's Daily Online)

Ikiwa inapatikana katika sehemu ya kaskazini kabisa ya Mkoa wa Anhui nchini China, Wilaya ya Dangshan, kwenye mpaka wa makutano ya mikoa ya Anhui, Jiangsu, Shandong na Henan, inajulikana kama "Mji Mkuu wa Matunda ya Peasi". Ina ekari milioni moja za bustani za matunda zinazofuatana, urefu wa maili mia moja za mkondo wa zamani wa Mto Manjano, na kiwango cha msitu cha zaidi ya 70%. Inajulikana kama "ukanda wa oksijeni asilia" na imeshinda hadhi ya "Wilaya ya Utalii yenye Ustawi wa Maisha ya Kiikolojia zaidi Nchini China", na kuwa kivutio bora cha utalii wa kiikolojia na kitamaduni nchini China. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha