Viwanda vvya roboti vyastawi katika Mkoa wa Guangdong kusini mwa China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 10, 2025
Viwanda vvya roboti vyastawi katika Mkoa wa Guangdong kusini mwa China
Roboti yenye matumizi ya kielimu ikioneshwa kwa umma kwenye kampuni ya teknolojia ya UBTECH mjini Shenzhen, Mkoani Guangdong, kusini mwa China, Machi 27, 2025. (Xinhua/Liang Xu)

SHENZHEN – Uzalishaji roboti wa Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China ulizidi 240,000 mwaka 2024 ukiwa na ongezeko la asilimia 31.2 kuliko mwaka jana wakati kama huo, ikichukua nafasi ya kwanza nchini China kwa miaka mitano mfululizo, takwimu zilizotolewa na Idara ya Viwanda na Teknolojia ya Habari ya mkoa huo wa Guangdong zinaonesha.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha