Mji wa Zhuji wa China wahimiza maendeleo bora katika kampuni binafsi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 08, 2025
Mji wa Zhuji wa China wahimiza maendeleo bora katika kampuni binafsi
Chombo kinachoongozwa kiotomatiki kikihamisha mzingo wa bomba la shaba kwenye kampuni ya Hailiang ya Zhejiang katika Mji wa Diankou wa Zhuji, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Aprili 7, 2025. (Xinhua/Zheng Huansong)

Mji wa Zhuji katika Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China umefanya juhudi katika kuhimiza maendeleo yenye sifa bora ya kampuni binafsi katika miaka ya hivi karibuni. Likiwa ni maskani ya kampuni nyingi za teknolojia ya hali ya juu za ngazi ya taifa, pato la kiviwanda lililoongezewa thamani la mji huo kwa kampuni zenye ukubwa wa kiwango kilichoainishwa limedumisha ukuaji kwa miezi 47 mfululizo. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha